Huku Mr.Flavour kule P. square kwenye hii Video ‘Sexy Rosey’…
Staa wa Nigeria Mr.Flavor amewashirikisha mastaa wawili mapacha wanaounda kundi la P square katika video yake mpya inayoitwa ‘Sexy Rosey’.
Video imeongozwa na Godfather.
Nakukaribisha hapa kuitazama.